Mshonaji (Tailor) job at Fides Tanzania Limited
New
Website :
2 Days Ago
Linkedid Twitter Share on facebook
Mshonaji (Tailor)
2026-07-29T13:16:29+00:00
Fides Tanzania Limited
https://cdn.greattanzaniajobs.com/jsjobsdata/data/employer/comp_5254/logo/Fides%20Tanzania%20Limited.png
FULL_TIME
Arusha
Arusha
00000
Tanzania
Agriculture, Food, and Natural Resources
Art, Fashion & Design, Manufacturing & Warehouse, Admin & Office
TZS
MONTH
2026-07-04T17:00:00+00:00
8

Background information about the job or company (e.g., role context, company overview)

Kampuni ya Fides Tanzania Ltd inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi ya Mshonaji (Tailor) katika ofisi zake zilizopo Arusha.

Nafasi ya Kazi

Nafasi ya Kazi: Mshonaji (Tailor)

Idadi ya Nafasi: 1

Kitengo: Utawala (Administration)

Mwajiri: Fides Tanzania Ltd

Eneo la Kazi: Arusha, Tanzania

Qualifications or requirements (e.g., education, skills)

Sifa Zinazohitajika

Elimu: Awe na cheti cha Ubunifu wa Mavazi (Fashion Design) au fani nyingine inayohusiana na ushonaji.

Tabia: Awe na nidhamu, uaminifu, tabia njema kazini, na uwezo wa kufuata maelekezo ya wasimamizi.

Ushirikiano: Awe na uwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa ushirikiano na timu (Team player).

Responsibilities or duties

Ujuzi na Majukumu Muhimu

Uwezo wa kutumia mashine za kisasa za kushonea na vifaa mbalimbali vya ushonaji.

Uwezo wa kuchukua vipimo, kutengeneza mipangilio/michoro ya nguo (patterns), kukata na kushona vitambaa kwa usahihi wa hali ya juu.

Uwezo wa kufanya marekebisho ya nguo (alterations) na kuhakikisha kazi inakamilika kwa viwango vinavyotakiwa.

Umakini, ubunifu, na uwezo wa kupanga na kukamilisha kazi zote za ushonaji kwa wakati uliopangwa.

Uwezo wa kutunza na kutumia vizuri vifaa vya kazi ili kuepuka uharibifu au upotevu usio wa lazima.

Experience needed

Uzoefu: Awe na uzoefu wa kazi wa angalau miaka miwili (2+) katika sekta ya ushonaji.

Ujuzi Maalum: Awe na uzoefu wa kushona na kutengeneza mavazi mbalimbali kwa kuzingatia viwango vya ubora. Ujuzi mzuri zaidi katika kutengeneza mavazi ya kiume kulingana na mahitaji ya kampuni utakuwa sifa ya ziada.

  • Uwezo wa kutumia mashine za kisasa za kushonea na vifaa mbalimbali vya ushonaji.
  • Uwezo wa kuchukua vipimo, kutengeneza mipangilio/michoro ya nguo (patterns), kukata na kushona vitambaa kwa usahihi wa hali ya juu.
  • Uwezo wa kufanya marekebisho ya nguo (alterations) na kuhakikisha kazi inakamilika kwa viwango vinavyotakiwa.
  • Umakini, ubunifu, na uwezo wa kupanga na kukamilisha kazi zote za ushonaji kwa wakati uliopangwa.
  • Uwezo wa kutunza na kutumia vizuri vifaa vya kazi ili kuepuka uharibifu au upotevu usio wa lazima.
  • Ubunifu wa Mavazi (Fashion Design)
  • Ushonaji
  • Kutumia mashine za kisasa za kushonea
  • Kuchukua vipimo
  • Kutengeneza mipangilio/michoro ya nguo (patterns)
  • Kukata vitambaa
  • Kushona vitambaa
  • Kufanya marekebisho ya nguo (alterations)
  • Umakini
  • Ubunifu
  • Uwezo wa kupanga na kukamilisha kazi kwa wakati
  • Kutunza vifaa vya kazi
  • Uaminifu
  • Nidhamu
  • Uwezo wa kufuata maelekezo
  • Team player
  • Cheti cha Ubunifu wa Mavazi (Fashion Design) au fani nyingine inayohusiana na ushonaji.
  • Uzoefu wa kazi wa angalau miaka miwili (2+) katika sekta ya ushonaji.
  • Uzoefu wa kushona na kutengeneza mavazi mbalimbali kwa kuzingatia viwango vya ubora.
  • Ujuzi mzuri zaidi katika kutengeneza mavazi ya kiume kulingana na mahitaji ya kampuni utakuwa sifa ya ziada.
  • Nidhamu
  • Uaminifu
  • Tabia njema kazini
  • Uwezo wa kufuata maelekezo ya wasimamizi
  • Uwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa ushirikiano na timu (Team player).
professional certificate
12
JOB-6a69fd2d2c9d3

Vacancy title:
Mshonaji (Tailor)

[Type: FULL_TIME, Industry: Agriculture, Food, and Natural Resources, Category: Art, Fashion & Design, Manufacturing & Warehouse, Admin & Office]

Jobs at:
Fides Tanzania Limited

Deadline of this Job:
Saturday, July 4 2026

Duty Station:
Arusha | Arusha

Summary
Date Posted: Wednesday, July 29 2026, Base Salary: Not Disclosed

Similar Jobs in Tanzania
Learn more about Fides Tanzania Limited
Fides Tanzania Limited jobs in Tanzania

JOB DETAILS:

Background information about the job or company (e.g., role context, company overview)

Kampuni ya Fides Tanzania Ltd inakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi wazi ya Mshonaji (Tailor) katika ofisi zake zilizopo Arusha.

Nafasi ya Kazi

Nafasi ya Kazi: Mshonaji (Tailor)

Idadi ya Nafasi: 1

Kitengo: Utawala (Administration)

Mwajiri: Fides Tanzania Ltd

Eneo la Kazi: Arusha, Tanzania

Qualifications or requirements (e.g., education, skills)

Sifa Zinazohitajika

Elimu: Awe na cheti cha Ubunifu wa Mavazi (Fashion Design) au fani nyingine inayohusiana na ushonaji.

Tabia: Awe na nidhamu, uaminifu, tabia njema kazini, na uwezo wa kufuata maelekezo ya wasimamizi.

Ushirikiano: Awe na uwezo mkubwa wa kufanya kazi kwa ushirikiano na timu (Team player).

Responsibilities or duties

Ujuzi na Majukumu Muhimu

Uwezo wa kutumia mashine za kisasa za kushonea na vifaa mbalimbali vya ushonaji.

Uwezo wa kuchukua vipimo, kutengeneza mipangilio/michoro ya nguo (patterns), kukata na kushona vitambaa kwa usahihi wa hali ya juu.

Uwezo wa kufanya marekebisho ya nguo (alterations) na kuhakikisha kazi inakamilika kwa viwango vinavyotakiwa.

Umakini, ubunifu, na uwezo wa kupanga na kukamilisha kazi zote za ushonaji kwa wakati uliopangwa.

Uwezo wa kutunza na kutumia vizuri vifaa vya kazi ili kuepuka uharibifu au upotevu usio wa lazima.

Experience needed

Uzoefu: Awe na uzoefu wa kazi wa angalau miaka miwili (2+) katika sekta ya ushonaji.

Ujuzi Maalum: Awe na uzoefu wa kushona na kutengeneza mavazi mbalimbali kwa kuzingatia viwango vya ubora. Ujuzi mzuri zaidi katika kutengeneza mavazi ya kiume kulingana na mahitaji ya kampuni utakuwa sifa ya ziada.

Work Hours: 8

Experience in Months: 12

Level of Education: professional certificate

Job application procedure
Interested in applying for this job? Click here to submit your application now.

Kama unakidhi vigezo vilivyotajwa hapo juu, tafadhali tuma Barua ya Maombi ya Kazi pamoja na Wasifu wako Binafsi (CV) kupitia anuani ya barua pepe (mail) ifuatayo:

Mwisho wa Kupokea Maombi: Jumamosi, Tarehe 04 Julai 2026

All Jobs | QUICK ALERT SUBSCRIPTION

Job Info
Job Category: Design jobs in Tanzania
Job Type: Full-time
Deadline of this Job: Saturday, July 4 2026
Duty Station: Arusha | Arusha
Posted: 29-07-2026
No of Jobs: 1
Start Publishing: 29-07-2026
Stop Publishing (Put date of 2030): 10-10-2076
Apply Now
Notification Board

Join a Focused Community on job search to uncover both advertised and non-advertised jobs that you may not be aware of. A jobs WhatsApp Group Community can ensure that you know the opportunities happening around you and a jobs Facebook Group Community provides an opportunity to discuss with employers who need to fill urgent position. Click the links to join. You can view previously sent Email Alerts here incase you missed them and Subscribe so that you never miss out.

Caution: Never Pay Money in a Recruitment Process.

Some smart scams can trick you into paying for Psychometric Tests.